
9 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Kutoka Kenya hadi kwenye jukwaa la kimataifa! Tunamtambulisha Steven Yembe, mmoja wa waamuzi wasaidizi wa soka wa Kenya mwenye hadhi ya FIFA, anayewakilisha Kenya katika ulimwengu wa soka. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley