
31 views
Host: Amani Aila Usichoke kutenda mema, kwa maana wakati wa mavuno unakuja. Haijalishi umepanda kwa machozi kiasi gani, usikate tamaa wala usikome. Mungu anaona kila hatua, kila juhudi na kila chozi. Endelea kuamini; wakati wako wa mavuno utafika. Producer: Mercy Shirley