
13 views
Host: Amani Aila Awamu hii ya Washa Taa ni nafasi ya kuimarishana katika imani kupitia Neno la Mungu. Tunashirikiana mistari ya Biblia, kutiana moyo, kusali pamoja na kushuhudia yale ambayo Mungu ametutendea. Fungua moyo wako, sikiliza Neno na uache imani yako iimarishwe. Ushuhuda wako na Neno lako vinaweza kuwa mwanga kwa mwingine. Producer: Mercy Shirley