
80 views
Vision 2030: Kufikia hapa tulipo leo, je, kweli Kenya imefanikiwa kutimiza malengo iliyoweka katika safari ya Vision 2030? Katika mahojiano haya kamili, tunachambua mafanikio, changamoto na matarajio yaliyotekelezwa au ambayo bado hayajatimia katika safari ya Kenya kuelekea kuwa taifa lililoendelea.