21 views
Tuvibe on Radio Maisha
Aired 13 Aug 2026
9:54
Kipindi ni Konnect ndani ya stesheni nambari moja nchini Radio Maisha. Kitengo kinaitwa Tuvibe ambapo mjadala huwekwa mezani kisha mashabiki wanapewa nafasi kutoa hisia ama maoni yao.