
27 views
Host: Christine Kambua Kelvin Waga ni kocha wa taaluma na mtaalamu wa kujenga chapa binafsi na anazungumza kuhusu safari yake, uzoefu wake na maarifa anayoshiriki katika kuwasaidia wengine kukua katika taaluma na biashara. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley