
14 views
Host: Christine Kambua Ukiandika CV, hakikisha inaonyesha impact yako si tu majukumu uliyowahi kufanya, bali matokeo, mafanikio na thamani uliyoleta katika kazi zako. CV inapaswa kumfanya mwajiri aone kwa nini wewe ni mtu anayefaa. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley