
30 views
Host: Christine Kambua Kioo Cha Jamii: Kwa nini baadhi ya watoto shuleni hutumwa kubeba maji, kukusanya kuni au kufanya kazi nyingine nzito badala ya kuzingatia masomo? Je, ni sehemu ya kuwafundisha uwajibikaji, au ni mzigo usiopaswa kubebwa na mtoto? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley