
15 views
Host: Christine Kambua Joel Kelvin Waga ni kocha wa taaluma na mtaalamu wa kujenga chapa binafsi. Tuzungumze kuhusu safari yake, uzoefu wake na maarifa anayoshiriki katika kuwasaidia wengine kukua katika taaluma na biashara. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley