
8 views
Host: Christine Kambua Kuwa na ndugu mwenye uwezo wa kifedha haimaanishi ana wajibu wa kuwasaidia wote. Lakini unapopata msaada, usitumie udhaifu wa mwingine kama fursa ya kumtumia. Msaada unahitaji heshima, shukrani na mipaka. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley