
13 views
Host: Christine Kambua Wasanii wa kitambo walikuwa na pace yao, mtindo wao na aina yao ya muziki. Lakini sasa mambo yamebadilika sana katika sekta ya muziki. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa, huku AI ikiwa na uwezo wa kutengeneza muziki. Je, maendeleo haya yanarahisisha au yanatishia ubunifu wa wasanii? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley #staarabika