
34 views
Host: Okumu na Sakali Nancy Milanoi, survivor wa saratani, anasimulia safari yake ya kiafya na dalili alizopitia, ikiwemo kutokwa na damu kwenye titi. Katika simulizi hii, anazungumzia umuhimu wa kutambua dalili mapema, kufanyiwa uchunguzi na kutafuta matibabu kwa wakati. Producer: Brenda Obura