
56 views
Host: Okumu na Sakali Rais William Ruto amekuwa akitaja Singapore kama mfano wa maendeleo ambayo Kenya inaweza kufikia. Lakini safari ya kuelekea maono hayo imekumbwa na changamoto na vikwazo mbalimbali. Katika video hii, tunaangazia hatua za serikali, changamoto zilizojitokeza na maswali kuhusu kama Kenya iko kwenye njia sahihi ya kufikia maendeleo inayoyataka. Producer: Brenda Obura