
21 views
Host: Okumu na Sakali Omar Abdulkadir Artan ameandika historia! Mwamuzi huyo kutoka Somalia amekuwa mwafrika wa kwanza asiye Mzungu kuchezesha UEFA Super Cup, akiongoza pambano kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa mjini Salzburg, Austria. Hatua kubwa kwa soka la Afrika! Producer: Brenda Obura