23 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 12 Aug 2026
2:12
Kaunti ya Nairobi yatoa wito wa miili 471 kuchukuliwa katika Mochari ya Nairobi ili kupunguza msongamano. Hatua hiyo inalenga kusaidia kukabiliana na changamoto ya uhifadhi wa miili katika mochari.