
20 views
Host: Okumu na Sakali Paris Saint-Germain na Aston Villa zinakutana katika mchezo wa UEFA Super Cup, huku mashabiki wakisubiri pambano hilo kubwa mjini Salzburg, Austria. Mbali na Super Cup, hatua ya tatu ya kufuzu kwa UEFA Conference League inaendelea kwa mechi za mkondo wa pili, huku timu zikisaka nafasi ya kusonga mbele. Producer: Brenda Obura