
94 views
Host: Okumu na Sakali Mjadala kuhusu uongozi wa Rais William Ruto unaendelea, huku wakosoaji wake wakidai kuwa serikali yake imeshindwa kutekeleza ahadi kadhaa zilizosaidia kumwingiza madarakani. Ahadi hizo zilihusu masuala muhimu kama uchumi, ajira, gharama ya maisha na kuboresha hali ya wananchi. Producer: Brenda Obura