
75 views
Host: Okumu na sakali Waziri wa Fedha na Hazina ya Kitaifa, John Mbadi, ametaja ongezeko la unywaji wa vinywaji baridi kama mojawapo ya viashiria vinavyoonyesha ukuaji wa uchumi wa Kenya. Akizungumza kuhusu hali ya uchumi nchini, CS Mbadi amesema ongezeko la matumizi ya soda na vinywaji vingine baridi linaweza kuashiria kuongezeka kwa matumizi ya wananchi na shughuli za kiuchumi. Producer: Brenda Obura