17 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 10 Aug 2026
17:59
Host: Okumu na Sakali Katibu wa Kudumu wa Afya ya Umma, Mary Muthoni, anazungumzia hali ya afya nchini Kenya, akielezea changamoto kuu, hatua zinazochukuliwa na serikali, na mustakabali wa huduma za afya nchini humo. Producer: Brenda Obura