
149 views
Host: Okumu na Sakali The Election Date Ruling- Wakili Morara Omoke anaungana nasi studio kufafanua uamuzi wa mahakama wa hivi majuzi kuhusu tarehe ya Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya, athari zake za kisheria, na maana yake kwa wapiga kura, vyama vya siasa na nchi. Producer: Brenda Obura.