42 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 10 Aug 2026
10:40
Host: Okumu na Sakali Wakili Morara Omoke anajiunga nasi asubuhi hii kujadili uamuzi wa mahakama kuhusu tarehe ya uchaguzi. Uamuzi huu unamaanisha nini kwa ratiba ya uchaguzi nchini? Producer: Brenda Obura.