
39 views
Host: Jimmy Mambo Ushuhuda huu ni wa mama mmoja ambaye anasema kwamba mtoto wake alianguka, wakadhani ni malaria....kumbe alikuwa na fractures. Walifikiria kwamba mtoto hangepona. lakini Mungu akafanya mambo yake na kumponya. Producer: Mercy Shirley