
67 views
Host: Clement Mlekenyi & Jitabi Suleiman Wadagliz wasimulia jinsi walivyokutana wakiwa shuleni. Walikuwa kundi la takribani watu 20,lakini kadri muda ulivyopita na mambo kubadilika, wakabaki wawili na kuendelea na safari yao ya muziki. Producer: Mercy Shirley #konnect