
20,514 views
Host: Clemo254 Kutoka changamoto za maisha, mahusiano, ujasiriamali hadi safari yake ya content creation, Moureen Ngigi afunguka kwa kina kuhusu maisha yake, masomo aliyojifunza na ushauri wake kwa vijana. Producer: Mercy Shirley #konnect