
16 views
Host: Kambua Christine Maziwa ya mama ni lishe bora ya kwanza kwa mtoto. Katika Wiki ya Unyonyeshaji Duniani, tuhamasishe unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya kwanza ya maisha na kuendelea pamoja na lishe mseto hadi mtoto afikishe miaka miwili au zaidi. Producer: Brenda Obura