
29 views
Host: Nzula Makosi & Guzman Mikidadi Si halali kumtoza kila mzazi au mwanafunzi faini ya pamoja kama sharti la kumruhusu mwanafunzi kurejea shuleni. Mahakama imesisitiza kuwa adhabu ya pamoja si ya kisheria. Producer: Mercy Shirley #MaishaJioni