
21 views
Host: Nzula Makosi & Guzman Mikidadi Uvutaji wa sigara una madhara makubwa kwa afya. Habari njema ni kwamba ukiacha kuvuta sigara, hatari ya kupata ugonjwa wa moyo huanza kupungua ikilinganishwa na mtu anayeendelea kuvuta. Producer: Mercy Shirley #MaishaJioni