
187 views
Host: Okumu na Sakali Ken Lusaka anasema kuwa maneno yanayoenezwa kuwa magavana wanalenga vikao vya seneti si ya kweli. Anaeleza kuwa magavana wanafaa kupewa heshima inayofaa hata wakiwa kwenye vikao hivyo. Anaongezea kuwa chief officers ndio wanafa kujibu maswali katika seneti kwa kuwa wanaelewa tarakimu hizo zaidi kuliko gavana kuenda kusoma aliyiandikiwa. Producer: Kevin Kuria