
163 views
Host: Okumu na Sakali Katika News Extra, gazeti la The Standard linaonyesha Ruto akiwa na mwandani wake Samia Suluhi katika ziara ya Ruto kule Tanzania. Baadhi ya masauala yanayoibuka ni makosa ambayo Ruto amekuwa akifanya kidiplomasia. Producer: Kelvin Kuria