
52 views
Host: Wycliff Okumu na Sakali Wizara ya Elimu inapinga takwimu ambayo imesema kuwa idadi ya wanafunzi wanaojiunga na shule ya Senior school ni wachache kuliko waliojiunga na Junior schoo. Kuna uwezekano wa watoto kuacha shule? Producer: Kevin Kuria