74 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 22 Apr 2026
5:14
Kuvuta sigara au kutumia vape kunaweza kuathiri afya yako kwa njia mbalimbali. Katika video hii tunaangazia madhara yake kwa mapafu, moyo na afya kwa ujumla, pamoja na kwa nini unapaswa kuepuka matumizi yake.