8,536 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 22 Apr 2026
4:20
Tanzania imekanusha kauli za Rais William Ruto kwamba Kenya ina mtandao mkubwa wa barabara za lami kuliko nchi zote za Afrika Mashariki kwa pamoja, ikizitaja kama si sahihi.