
88 views
My Husband alinicheat alafu akamleta home . Nilipitia maumivu makali baada ya kugundua alikuwa anaishi maisha ya siri na kunisaliti. Worst part ni kwamba alikana mwanzoni, lakini baadaye ukweli ukajitokeza .Alimleta huyo mwanamke ndani ya nyumba yetu kulileta madharau kila kona na kunibadilishia maisha kabisa.