131 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 27 Mar 2026
2:47
Ukaguzi uliofanywa na Auditor General nchini Kenya ulibaini kwamba fedha kutoka Paybill ya eCitizen, zinazofikia mabilioni, hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi ya serikali, bali zilihamishwa kwenye akaunti binafsi zisizoidhinishwa