
178 views
Gladys Wanga amesema kuwa “Linda Mwananchi” ni vuguvugu.Ameeleza kuwa chama kiko imara, lakini baadhi ya viongozi wachache wenye mawazo tofauti waliunda kundi hilo la vugu vugu. Ametaja kuwa halina alama yoyote ya chungwa wala rangi ya chama.