112 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 26 Mar 2026
16:08
Zamani, kulikuwa na tamaduni nyingi na za kipekee. Watu walikuwa wanatafutiwa bibi, na wanawake walikuwa wanakufunga leso. Je, bado kuna tamaduni ambazo zinafuatiliwa kama enzi hizo?