9,752 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Feb 2026
49:20
Mbunge wa Kajiado North, Mheshimiwa Onesmus Ngoyoyo (UDA), amesema kuwa chama cha UDA kilifanya kosa kubwa kumchagua William Ruto kama rais wakati wa mahojiano kwenye Maisha Asubuhi.