
232 views
Sizikwi nayo: Ni miaka mitatu sasa tangu mke wangu aende kwao kujifungua na hajawahi kurudi. Nimejaribu kuwasiliana naye bila mafanikio. Nadhani chanzo cha yote ni mamake, ambaye amenionesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi. Hali hii imeniumiza sana na sijui la kufanya.