315 views
Radio Maisha Safari on Radio Maisha
Aired 10 Mar 2020
5:29
Miaka miwili ya vituko vya handshake na reggae za BBI, ndiyo mzigo ambao Wakenya wameubeba akilini, kutumia garimoshi lisilokuwa na breki. #BBI #VimbwangaVyaMaisha #MaishaAsubuhi