
318 views
Uhalifu katika vitongoji duni ni mambo ya kawaida. Vijana wengi ambao wamepatikana katika mtego huu ni watu ambao wameathirika ki uchumi. Hali ngumu ya maisha imewafanya watafute mbinu mbadala za kujikimu kimaisha. Baadhi yao ni wachezaji kandanda ambao wanajaribu kucheza nyanja za juu na kujitoa katika umasikini.