627 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 5 Sep 2017
4:53
Msanii huyo wa gospel ametambulisha video ya wimbo wake mpya studioni na kufungukia swali la Kumi Noma kusema kuwa msanii mwenzake Ringtone anaweza kuwa ring tone ya simu ya Motorola wala sio Smartphone au iphone.