208 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Aug 2017
5:25
Mkurugenzi huyo wa National Environment Management Authority (NEMA) ameweka wazi kuwa paper bags za plastic zinapigwa marufu nchi Kenya kutokana na athari zake wa maisha ya wanadamu na pia wanyama.