2,113 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 4 Aug 2017
0:44
Janet Atieno amekuwa akitambulisha wimbo wake mpya wa gospel kwa jina 'Shuka' ambao unazungumzia neema za mwenyezi mungu kushuka kwani watu wanatii na kufuta mambo ya duniani zaidi ya amri za Mungu.