
120 views
Mjini Dar es salaam wapenzi wa muziki wa Afrika mashariki pamoja na wanamuziki wenyewe waliungana hapo jana katika tamasha lililotoa nafasi ya wanamuziki wachanga kuimba kwenye jukwaa moja na wanamuziki wakongwe na maarufu kama Eric Wainaina wa hapa kenya na Oliver Mutukuzi kutoka Zimbabwe…