
45 views
Ukosefu wa ufadhili ulididimiza matumaini ya timu ya daraja la pili ya Kolongolo kushiriki katika ligi ya daraja la kwanza msimu jana. Umerejea tena kujaribu kujikwamua na japo imekumbwa na changamoto si haba wanasema kwamba watajizatiti msimu huu. Japo wanaomba wafadhili kujitokeza kuwasaidia.niliwatembelea katika kaunti ya busia eneo la Nambale na kuandaa taarifa ifuatayo.