
111 views
Kundi la viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya limepuzilia mbali uamuzi wa CORD wa kuandaa mkutano siku ya Madaraka. Wakiongozwa na spika wa bunge Justin Muturi na waziri wa ugatuzi Mwangi Kiunjuri viongozi hao wameitaka CORD kuzingatia sheria inapotaka IEBC kuvunjiliwa mbali.