
708 views
Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumamosi ya Tembea Kenya, tunaangazia eneo moja katika kaunti ya Uasin Gishu. Poa Place kama ijulikanavyo imedaiwa kuwa sehemu inayowavutia watalii wengi zaidi katika eneo la North Rift. Elvis Kosgei anaarifu.