708 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 28 May 2016
4:51
Katika makala yetu ya mirindimo tunaangazia machozi ya mbunge Suleiman Dori, hali kadhalika umahiri wa gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho kusakata densi. Na je ilikuwaje kwa CORD na maandamano? Mhariri wa KTN Leo Paul Nabiswa anaarifu.