
108 views
Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa kandanda katika ligi kuu nchini mwezi Aprili Wycliffe Ochomo amedokeza kuwa anapania kung’aa kwenye timu ya Taifa baada ya kujumuishwa kwenye kikosi hicho. Mshambuliaji huyo pia ana imani atanyakua taji la mfungaji bora ifikapo mwisho wa msimu.