1,547 views
Rhumba Republik on Radio Maisha
Aired 22 May 2016
2:04
Mbunge wa Msambweni Suleiman Dori amelia hadharani akirejelea mateso aliyopitia mamake wakati wa kumkuza na jinsi kijiji chake cha gazi kilivyotelekezwa na serikali. Ripota wetu tobias chanji anaarifu kutoka kusini mwa Pwani..